Hamisi Kiiza atoswa 'The Cranes' Kocha Mkuu wa Uganda 'The Cranes', Sredejovich Milutin 'Micho' ametangaza kikosi cha watu 21 kitakachoivaa Botswana katika mechi ya kuwania kucheza Kombe la Mataifa Afrika. Read more about Hamisi Kiiza atoswa 'The Cranes'