Serikali itaendelea kutoa bei elekezi-Majaliwa
Serikali imesema kuwa itaendelea kutoa bei dira ya sukari nchi nzima ili kumsaidia mwananchi wa hali ya chini na tayari wameshakutana na waagizaji na wasambazaji wa sukari nchini ili kujua gharama za usafirishaji wa bidhaa hiyo.