Mifugo iliyokamatwa Misenyi kupigwa mnada

Mkuu wa wilaya ya Misenyi Mkoani Kagera, Festo Kiswaga.

Mkuu wa wilaya ya Misenyi Mkoani Kagera, Festo Kiswaga, ametoa siku 14 wa wafugaji ambao mifugo yao ilikamtwa ndani ya Ranchi ya Taifa ya Misenyi kuhakikisha wanalipia faini mifugo yao kabla ya kupigwa mnada.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS