IOM kuwasaidia raia wa Burundi waliofukuzwa Rwanda
Wakimbizi kutoka Burundi wakiwa wanasajiliwa na Shirika la IOM.
Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) nchini Burundi, limesema linawapatia msaada raia wa Burundi waliofukuzwa kutoka Rwanda siku chache zilizopita kwa kutokua na vibali vya kuwa nchini Rwanda.