Yanga kutua kesho na kwenda moja kwa moja kambini

Yanga wakisherekea ushindi.

Mashujaa wa Taifa, Yanga SC wanatarajiwa kurejea Dar es Salaam kesho mchana wakitokea Angola, ambako jana walikata tiketi ya kuingia hatua makundi ya Kombe la Shirikisho la Soka Afrika.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS