Album ya Ben Pol yawakusanya Bank W na Nameless Msanii Ben Pol ambaye hivi karibuni alisema yupo kwenye maandalizi ya album, ametoa orodha ya wasanii ambao watakuwa kwenye albam yake hiyo. Read more about Album ya Ben Pol yawakusanya Bank W na Nameless