Rooney sasa kuwa kiungo timu ya taifa Nahodha wa zamani wa timu ya Taifa ya Uingereza, Alan Shearer amesema kuwa Wayne Rooney sio tena mshambuliaji namba moja katika timu yake ya taifa ya Uingereza. Read more about Rooney sasa kuwa kiungo timu ya taifa