Serikali haijanufaika na uuzaji wa magogo nje Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Ramo Makani. Serikali imesema haijanufaika na uuzwaji wa magogo na mbao nje ya nchi kwa muda mrefu kutokanana na biashara hiyo kufanyika kinyume cha sheria kwa muda mrefu. Read more about Serikali haijanufaika na uuzaji wa magogo nje