Wananchi wanafurahia utumbuaji majipu-Anna Mghwira

Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Mama Anna Mghwira amesema kitendo cha serikali ya awamu ya tano kutumbua majipu kinawafanya wananchi kuhamishwa kwenye mambo ya msingi na kujikita kwenye jambo moja la utumbuaji majipu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS