Yanga yawasili Angola tayari kwa mchezo wa kesho
Yanga SC imewasili salama mjini Dundo, Angola baada ya safari ya kutwa nzima, tayari kwa mchezo wao wa kesho dhidi ya wenyeji, Sagrada Esperanca kuwania tiketi ya kucheza hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika.