Abiria Mabasi ya Haraka walia na Mashine za Tiketi
Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wameanza kutumia mabasi yaendayo kwa haraka kwa kulipa nauli huku wakikabiliwa na changamoto baada ya kuutumia usafiri huo kwa wiki moja iliyopita pasipo kulipia kutokana na kuwa katika majaribio.