Serengeti Boys kuvaana na wenyeji India leo
Kikosi cha timu ya Taifa ya Viajana cha Tanzania Serengeti Boys leo kitatupa tena karata yake ya pili kwa wenyeji timu ya vijana ya India katika michuano ya kirafiki ya vijana Uwanja wa Tilak Maidan, Vasco, Goa nchini India.