Sirudi tena nyuma: Nuhu Mziwanda Msanii wa Bongo fleva Nuhu Mziwanda Msanii wa Bongo fleva Nuhu Mziwanda ameibuka na kusema kuwa hawezi kurudi tena nyuma hasa katika suala la mapenzi na wala ya nyuma hayajamuumiza yeye anasonga mbele tu. Read more about Sirudi tena nyuma: Nuhu Mziwanda