Msimu huu ndiyo mwisho kwa Simba kufanya vibaya Rais wa klabu ya Simba Evans Aveva. Rais wa klabu ya Simba Evans Aveva amesema kufanya kwao vibaya msimu huu ndiyo mwisho kwani tayari wameandaa mipango madhubuti ya kuijenga upya msimu ujao. Read more about Msimu huu ndiyo mwisho kwa Simba kufanya vibaya