Tutajenga Mabweni kumuokoa mtoto wa kike-Jaffo Naibu Waziri wa TAMISEMI, Mhe. Seleman Jaffo. Serikali imesema ili kumuokoa mtoto wa kike kukatiza masomo yake kwa kupata mimba zisizotarajiwa itajenga mabweni katika maeneo ya jirani wanayosomea watoto hao pamoja na kuwashirikisha wazazi. Read more about Tutajenga Mabweni kumuokoa mtoto wa kike-Jaffo