Mgambo na JKT Ruvu nani kushuka daraja leo Mgambo JKT itaamua kubakia au kushuka daraja hii leo katika mpambano wake dhidi ya JKT Ruvu mchezo utakaochezwa katika Uwanja wa Mkwakwani Mkoani Tanga. Read more about Mgambo na JKT Ruvu nani kushuka daraja leo