Kocha Mkwasa kuanika wanajeshi wa Stars Mei 18

Kocha Boniface Mkwasa akitoa maelekezo kwa wachezaji wa Taifa Stars.

Kocha Mkuu wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Charles Boniface Mkwasa wiki ijayo atarajiwa kutangaza kikosi cha wachezaji wake wakaokwenda Kenya kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa utakaofanyika jijini Nairobi, Mei 29, 2016.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS