Yanga kurudiana na waangola Jumatano Yanga wametamba kuwa hawataenda kinyonge au kwa upole kurudiana na wapinzani wao Sagrada Esperanca ya Angola kwa kuwa wanajua wapinzani wao watakuwa na nguvu kubwa hasa sababu wapo nyumbani. Read more about Yanga kurudiana na waangola Jumatano