Mpenzi wake kama hana kabisa ananipa laki 5 -Gigy Msanii na video queen Gigy Money amesema hawezi kumuweka wazi mpenzi wake kwa sasa, kwani ni mtu ambaye hataki kujulikana na pia anahofia kunyang'anywa na mashoga zake. Read more about Mpenzi wake kama hana kabisa ananipa laki 5 -Gigy