Fredrick Sumaye ateuliwa mjumbe Kamati Kuu CHADEMA Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye ameteuliwa kuwa mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akiwa ni mjumbe wa pili kuteuliwa na Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe. Read more about Fredrick Sumaye ateuliwa mjumbe Kamati Kuu CHADEMA