Afya si suala la Muungano- Dkt. Kigwangalla

Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamisi Andrea Kigwangalla amesema kwamba suala la huduma za afya siyo miongoni mwa mambo yaliyokubaliwa kushuhulikiwa na serikali ya Muungano.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS