Star wa Bongo fleva Diamond Platnum na Mpenzi wake Zarina Hassan
Star wa Bongo fleva Diamond Platnum akanusha juu ya stori zilizozagaa mitandaoni kuwa mpenzi wake Zarina ama mama Tiffa anachepuka na Ivan huku yeye akichepuka na video Quuen wa Ketu ya Raymond