JUKATA wataka mchakato wa katiba uanze upya. Jukwaa la Katiba nchini Tanzania (JUKATA) limeitaka serikali kutangaza kuanza kwa mchakato wa kupatikana kwa Katiba mpya kwani mchakato huo haukufika mwisho. Read more about JUKATA wataka mchakato wa katiba uanze upya.