Elimu bure changamoto kwa wenye mahitaji maalumu
Mratibu wa Mtandao wa Elimu nchini Tanzania, Bi. Catherine Sekwao, amesema kuwa watatumia maadhimisho ya wiki ya elimu duniani kutafuta utatuzi wa changamoto zinazowakabiliwa watoto wenye mahitaji maalumu.