Yanga kuifuata Sagrada Esperanca Jumapili
Yanga SC inatarajia kuondoka Alfajiri ya Jumapili kwenda Angola kucheza mchezo wa marudiano wa mchujo wa kuwania kuingia hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji, Sagrada Esperanca katikati ya wiki ijayo.