Saba wa familia moja wauawa Mwanza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Ahmed Msangi. Watu saba wa familia moja katika kitongoji cha Nyigumba kijiji cha Sima wilaya ya Sengerema mkoa wa Mwanza, wameuawa kwa kukatwakatwa mapanga usiku wa kuamkia juzi. Read more about Saba wa familia moja wauawa Mwanza