Rais TFF aipongeza Yanga

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Emil Malinzi.

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Emil Malinzi ameipongeza timu ya soka ya Young Africans kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kwa mara ya pili mfululizo baada ya kufanya hivyo msimu uliopita wa mwaka 2014/2015.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS