Hotuba ya Waziri Mwijage inakatisha tamaa- Bashe
Mbunge wa Jimbo la Nzega Mjini Hussein Bashe (CCM) ameweka msimamo wake wazi kuhusiana na hotuba ya Waziri wa Viwanda na Uwekezaji Charles Mwijage na Waziri wa Kilimo na Uvuvi Mwigulu Nchemba kwamba zimemkatisha tamaa.