Maujuzi ya mtoro Ajib yaanza kuwapagawisha Wasauzi
Ufundi mwingi wa kuchezea mpira na ujuzi unaochangiwa na bidii na kujiamini kwa mshambuliaji wa Simba Ibrahim Ajib kumeanza kuwapagawisha viongozi wa benchi la ufundi na wachezaji wa timu ya Golden Arrows FC ambao wameonekana kuvutiwa haraka na Ajib.