Wafanyabiashara soko la Sinza Africa sana hatarini
Wafanyabiashara wanaofanya shughuli zao katika soko la Sinza Afrika sana wapo hatarini kupata magonjwa ya mlipuko na yale yanayoambukizwa kwa njia ya haja ndogo kufuatia soko hilo kukosa maji na kusababisha hali ya choo sokoni hapo kutishia afya.