Milioni 55 zarejeshwa na wafanyakazi hewa Songwe

Mkuu wa mkoa wa Songwe, Luteni Mstaafu Chiku Galawa.

Shilingi 55,632,929 zimerejeshwa ikiwa ni sehemu ya hasara ya fedha ambazo serikali ilipata kutokana na malipo ya watumishi hewa katika wilaya nne za mkoa wa Songwe.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS