Mbuyu Twite na bossou waanza mazoezi leo Nyota wawili wa kigeni wa Yanga, Mbuyu Junior Twite wa DRC na Vincent Bossou wa Togo wanatarajiwa kuanza mazoezi leo Uwanja wa Chuo cha Polisi, Kurasini, Dar es Salaam. Read more about Mbuyu Twite na bossou waanza mazoezi leo