Watatu mbaroni kwa tuhuma za ujambazi - Mwanza Jeshi la polisi jijini Mwanza linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kuhusika na matukio ya uporaji na mauaji ya wafanyabiashara jijini Mwanza katika maeneo mbalimbali. Read more about Watatu mbaroni kwa tuhuma za ujambazi - Mwanza