Shime awataka mashabiki kuwa wazalendo

Kocha wa Timu ya Taifa ya Vijana ya Tanzania Serengeti Boys Bakari Shime amewataka watanzania wasisubiri ushindi ndio waanze kuipa sapoti timu bali wanatakiwa kuanza nayo mwanzo ili kuweza kuwa nao pamoja mpaka mwisho.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS