Wafanyabiashara Coco Beach waomba wapatiwe eneo Wafanyabiashara katika ufukwe wa Coco Beach jijini Dar es Salaam wameiomba serikali kuwapa umiliki wa muda wa eneo hilo ili waweze kutumia kama dhamana ya kuombea mikopo kutoka taasisi za fedha. Read more about Wafanyabiashara Coco Beach waomba wapatiwe eneo