Wapeni vimbaumbele wazawa katika miradi-Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, ameitaka mifuko ya hifadhi za Jamii,na wawekezaji mbalimbali nchini kutoa fursa za ajira kwa wazawa ili kukuza maendeleo ya mtu mmoja mmoja na nchi kwa ujumla.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS