Azam FC na Yanga kukutana Juni 11 Fainali FA Fainali ya kuwania Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kati ya Yanga na Azam FC sasa zitafanyika Juni 11 mwaka huu Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Read more about Azam FC na Yanga kukutana Juni 11 Fainali FA