Mashabiki Simba wataka viongozi wang'oke
Mara baada ya tmu ya Simba SC kupoteza mchezo wa jana kwa bao 1-0 dhidi ya Mwadui FC Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam mashabiki wameutaka uongozi uliopo hivi sasa kujiuzulu na kuacha timu kwa uongozi mwingine.