Wilaya yakosa Ofisi ya TRA miaka 13 mfulilizo

Wilaya ya Kilindi Mkoani Tanga haina Ofisi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) jambo ambalo linasababisha usumbufu mkubwa kwa wananchi wa wilaya hiyo wanapohitaji huduma mbalimbali zinazohitaji kuwezeshwa na TRA.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS