Uyui kuondoa nyumba zote za udongo

Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri.

Wilaya Uyui Mkoani Tabora inatarajia kuanza kampeni ya kuondoa nyumba zote za tope,ili kuwanusuru wananchi na maafa kama yaliyotokea wakati wa mvua za masika kati ya mwezi Februari hadi Aprili mwaka huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS