Wananchi wailalamikia Polisi Njombe
Wananchi wa Kata ya Iwungilo Halmashauri ya Mji wa Njombe wamelilalamikia jeshi la polisi kwa kushindwa kuzuia wizi wa pikipiki na mauaji kutokana na baadhi wahalifu wanaotuhumiwa katika jamii kuachiwa muda mfupi tu wafikishwapo polisi.