TAKUKURU yamnasa aliyeficha sukari tani 4579

Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa nchini TAKUKURU Jijini Dar es salaam inamshikilia mfanya biashara Bwn. Harun Daud Zacharia kwa tuhuma za kuficha sukari zaidi ya tani elfu 4579 katika maghala Mbagala na Tabata jijini Dar es salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS