Nitawatumbua hadi mwisho wa dunia - Magufuli

Rais Magufuli alipokuwa akizungumza na baadhi ya wakazi wa Arusha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa mara nyingine amelazimika kuzungumza na wananchi wa Arusha Mjini waliokuwa wamezuia msafara wake uliokuwa ukitoka Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli kwenda Ikulu ndogo ya Arusha.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS