Jitokezeni kuwekeza kwenye viwanda vidogo-Mwijage
Watanzania wakiwemo wabunge wa bunge la Tanzania, wameombwa kuwekeza katika viwanda vidogo ili kuepusha bidhaa zinazowezwa kutengenezwa nchini zisiagizwe kutoka nje ya nchi, na kusaidia kuongeza pato la taifa.