CTI waiomba serikali kuchukua hatua kuhusu sukari

Shirikisho la Wenye Viwanda nchini Tanzania (CTI) limeiomba serikali kuchukua hatua dhidi ya wafanyabiashara wachache wanaokiuka taratibu za vibali vya uingizaji sukari kutoka nje ya nchi ili wasiumize sekta ya viwanda nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS