Mimi ndiye Rais nipeni ushirikiano- Dkt. Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewataka watanzania kumpa ushirikiano na kuondoa tofauti zao za vyama, dini na makabila. Read more about Mimi ndiye Rais nipeni ushirikiano- Dkt. Magufuli