Serengeti Boys kuagwa Kesho Karume
Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Dioniz Malinzi, kesho anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya kuiga timu ya soka ya vijana wa Tanzania wenye umri wa chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) inayotarajiwa kwenda India Jumatano.