Wizara ya Afya yapokea msaada wa zaidi ya bil 1.4

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imepokea vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi bilioni 1.4 kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa ajili ya mkakati wa kutoa chanjo kwa wakina mama na watoto dhidi ya magonjwa mbalimbali.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS