Serikali kuunda tume ya utatuzi wa Migogoro
Serikali imesema imeanza kutafuta njia sahihi ya kuondoa Migogoro ya Ardhi ambayo mingi imetokana na kuongezeka kwa matumizi ya ardhi, pamoja na kuongezeka kwa mifugo pamoja na utendaji mbovu wa watendaji wa maeneo hayo.