Sababu 7 mwanasheria Kinondoni kutumbuliwa
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Mh. Boniface jana ametangaza kuwasimamisha kazi kwa watumishi wawili wa Manispaa ya Kinondoni, akiweo Mwanasheria Mkuu Bw. Burton Mahenge na Mthamini wa Manispaa Bw. Einhard Chidaga kwa kuisababisha hasara.